Sunday, July 14, 2019

Poleni Amcosi Shinyanga Mwenge kwa ajali ya moto, lakini walipeni wanchi kama mliwakopa Pamba

Nianze kwa kutoa pole kwa Chama cha kushirikiana wilaya ya Maswa mkoa wa simiyu Hasa  vingozi wa amcos Kata ya Dakama kijiji cha Shinyanga mwenge kwa  ajari ya moto Iliyotokea na kusababisha Ghara la  kuhifadhia Pamba kuungua na kusababisha Hasara kwa Amcos ya takribani tan 120000 zilizowaka moto aidha nitoe pole kwa wananchi wa Shinyanga kwa kupoteza rasilimali hii adimu katika maghara lakini Viongozi wa Amcos Shinyanga Mwenge walipeni wanchi kama mliwakopa na mkapima Pamba yao kisha mkaiifadhi kwa kusubiri fedha na ili mwalipe,  kuungua moto maghara yenu ni sawa na ajari zingine lakini mkulima asihusike na Hasara hii kwani yeye   aliihifadhi vyema na akauza kwenu sasa hii ni  yenu viongozi wa AMCOS. Hatuhitaji kusikia wanchi hawajalipwa eti kwa kisingizi cha moto, moto ni  ajari kwenu na Hasara yenu kama Chama cha ushirika.
Aidha niwaombe wanchi na vijana wenzetu muwe watulivu na wavumulivu na kuyafuata Yale viongozi wa cham cha ushirika na serikali walicho elekeza lakini suala la  malipo liwe kama mlivyouza Pamba yenu.

Masaga Paul mwenyekiti wa UVCCM