Nianze kwa kutoa pole kwa Chama cha kushirikiana wilaya ya Maswa mkoa wa simiyu Hasa vingozi wa amcos Kata ya Dakama kijiji cha Shinyanga mwenge kwa ajari ya moto Iliyotokea na kusababisha Ghara la kuhifadhia Pamba kuungua na kusababisha Hasara kwa Amcos ya takribani tan 120000 zilizowaka moto aidha nitoe pole kwa wananchi wa Shinyanga kwa kupoteza rasilimali hii adimu katika maghara lakini Viongozi wa Amcos Shinyanga Mwenge walipeni wanchi kama mliwakopa na mkapima Pamba yao kisha mkaiifadhi kwa kusubiri fedha na ili mwalipe, kuungua moto maghara yenu ni sawa na ajari zingine lakini mkulima asihusike na Hasara hii kwani yeye aliihifadhi vyema na akauza kwenu sasa hii ni yenu viongozi wa AMCOS. Hatuhitaji kusikia wanchi hawajalipwa eti kwa kisingizi cha moto, moto ni ajari kwenu na Hasara yenu kama Chama cha ushirika.
Aidha niwaombe wanchi na vijana wenzetu muwe watulivu na wavumulivu na kuyafuata Yale viongozi wa cham cha ushirika na serikali walicho elekeza lakini suala la malipo liwe kama mlivyouza Pamba yenu.
Masaga Paul mwenyekiti wa UVCCM