Kama umewahi kusafiri kwa njia ya Mabasi kwa wingi umewahi ona au kusikia Dawa ya meno ijulikanayo Kama Vigor Doctor zikisemewa. Ukweli ni kwamba Dawahizo Zinatengenezwa PRC, na Mtaalamu wa Magonjwa ya kinywa na meno aitwae Vigan Mosses, Mmarekani Aliye na makazi yake Nchini Uchina. Doctor huyu Ndiye aliye itengeneza Dawa Hii Vigo Doctor ikiwa na Maana ya "Nenda muone Viga Doctor" Akutibu jino.
Dawa hii ni mchanganyiko wa mitishamba na Madini kazaa kama calcium carbonate, sodium benzoate, potassium, n.k. inatibu kwa mambo yafuatayo
1; VIMBE ZA FIZI
2:KUPASUKA KWA FIZI NA DAMU KUTOKEA.
3 KUTOA SUMU YA VYAKULA, VINYWAJI, VINAVYOWEZA KUPELEKEA MENO KUOZA AU KUTOBOKA(MABAKI YA VITAFUNWA, VINYWAJI+SIGARA +UGORO N.K ILI MENO YAWE SALAMA.
4:KUTIBU TATIZO LA HARUFU CHAFU VINAVYOSABABISHWA NA VINYWAJI+ CHAKULA AU UWEPO WA BAKTERIA AU FANGASI KINYWANI AMBAPO HUSABABISHA HALUFU CHAFU MUDA WOTE HATA KAMA UKISUKUTUA MARA KWA MARA PIA HUTIBU
VIDONDA MDOMONI.
MATUMI.
5. HUZUIA MENO KUOZA AU KUTOBOKA (Uwepo wa madini ya calcium.
Doctor anasisitiza ukiwa na tatizo itumie kwa Mara kwa Mara kwa siku. kwa muda wa siku tano. kisha uwe unaitumia kwa siku Mara tatu, anapendekeza Asubuji Mchana pia jioni.
Zinapatika Tanzania na Duniani kote Japo uzalishaji wake ni changamoto kulingana na uhitaji mkubwa wa malighafi zake ndio maana zinapatikana kwa order. kwa Tanzania Unaweza weka Order yako kuanzia dawa moja dazone au katoni tunakufikishia popote ulipo kwa gharama nafuu.
wasiliana nasi 0758092500, WhatsApp. Au tupigie /0738326399, 0788082479, 0625669832 au Email. vigordoctortoothpaste@gmail.com
TUPO KANDA ZOTE ZA TANZANIA
30 comments:
Kuna nyingine imeandikwa vigor doctor ( clove) Ina picha ya karafuu.je Ni kampuni moja au Kuna matapeli washaingilia rizki?
Naifuatilia
Kweli
Bei yake haionekani
Jaman jamani
Bei yake
Bei ya jumla shingapi
Aisee hiyo dawa ni kiboko
Bei yake
MWENYE UHITAJI TUPIGIE KUPITIA HII NAMBA 0625669832
Ila nayo nzuri sana
Imenisaidia kutuliza maumivu ya jino naitumia sasa
Hii daw ni noumaa 🔥🔥
Hii dawa ipo vizuri aisee pokezi kwenu
Kuna utapeli ndani yake...mnatupa visticker vina zawadi za kitoto Kwa alfu 10....mnatuonaje?
Bukoba inapatikana vp
Nilipo sikia neno mmarekani kausika naanza kuwa na wasiwasi. Isije akawa ameweka homoni za wanaume kuwa mashoga na wanawake wawe wasagaji. Sababu sikuizi mpango wa shetani ni kuwafanya wanadamu wamuasi Mungu kwa nguvu zote. Walio tumia muda mrefu tunaomba mtu ambie kinacho endelea kiukweli namchukia sana mmarekani hana nia nzuri
I think good anticaries
Uwiii imenitokea leo.. Nataman ningeona hii comment mapema
Vigor docter nzur sana pia nimependa pale mnapo toa na zawad mimi binafsi elfu kumi dawa na zawad nimipenda zawad zenu nzurii
Hiii dawa ni nzuri sana zaidi ya sana
Kwani nyie mko wap?
Dawa hizi ni nzuri sana shida ni bei sana
Hii dawa ni mbaya ukiitumia inaleta madonda mdomoni kiwen makin ndgu zanguni
Mnatuchanganya sasa
Idawa naikubali sana
Me sielew kwa ubashiri wa zawadi jamaa kaja anatangaza kweli kaelekeza anasema utafungua kupuni then utaangalia zawadi utakayokuwa umepata ikiwa imeshinda zawadi utalipia 20,000/= nikahisi utapeli nikaachana nao hii imekaaje waungwana
Bei n 3500 kwa 3000
Ni kweli unachokisema lakini katika yote tunashinda zaidi ya kushind ndio maana kila kitu unacho nunua unashauliwa lazima uombee kitu chochote kwa amani mungu hutuponya na kutuokoa
Dawa inauzwa beigani .??
Post a Comment