Kama umewahi kusafiri kwa njia ya Mabasi kwa wingi umewahi ona au kusikia Dawa ya meno ijulikanayo Kama Vigor Doctor zikisemewa. Ukweli ni kwamba Dawahizo Zinatengenezwa PRC, na Mtaalamu wa Magonjwa ya kinywa na meno aitwae Vigan Mosses, Mmarekani Aliye na makazi yake Nchini Uchina. Doctor huyu Ndiye aliye itengeneza Dawa Hii Vigo Doctor ikiwa na Maana ya "Nenda muone Viga Doctor" Akutibu jino.
Dawa hii ni mchanganyiko wa mitishamba na Madini kazaa kama calcium carbonate, sodium benzoate, potassium, n.k. inatibu kwa mambo yafuatayo
1; VIMBE ZA FIZI
2:KUPASUKA KWA FIZI NA DAMU KUTOKEA.
3 KUTOA SUMU YA VYAKULA, VINYWAJI, VINAVYOWEZA KUPELEKEA MENO KUOZA AU KUTOBOKA(MABAKI YA VITAFUNWA, VINYWAJI+SIGARA +UGORO N.K ILI MENO YAWE SALAMA.
4:KUTIBU TATIZO LA HARUFU CHAFU VINAVYOSABABISHWA NA VINYWAJI+ CHAKULA AU UWEPO WA BAKTERIA AU FANGASI KINYWANI AMBAPO HUSABABISHA HALUFU CHAFU MUDA WOTE HATA KAMA UKISUKUTUA MARA KWA MARA PIA HUTIBU
VIDONDA MDOMONI.
MATUMI.
5. HUZUIA MENO KUOZA AU KUTOBOKA (Uwepo wa madini ya calcium.
Doctor anasisitiza ukiwa na tatizo itumie kwa Mara kwa Mara kwa siku. kwa muda wa siku tano. kisha uwe unaitumia kwa siku Mara tatu, anapendekeza Asubuji Mchana pia jioni.
Zinapatika Tanzania na Duniani kote Japo uzalishaji wake ni changamoto kulingana na uhitaji mkubwa wa malighafi zake ndio maana zinapatikana kwa order. kwa Tanzania Unaweza weka Order yako kuanzia dawa moja dazone au katoni tunakufikishia popote ulipo kwa gharama nafuu.
wasiliana nasi 0758092500, WhatsApp. Au tupigie /0738326399, 0788082479, 0625669832 au Email. vigordoctortoothpaste@gmail.com
TUPO KANDA ZOTE ZA TANZANIA